Mwanzo 18:9 BHN

9 Wale wageni wakamwuliza, “Mkeo Sara yuko wapi?” Abrahamu akawajibu, “Yumo hemani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:9 katika mazingira