Mwanzo 18:10 BHN

10 Mmoja wao akasema, “Hakika nitakurudia wakati kama huu mwakani, na mkeo Sara atakuwa na mtoto wa kiume.” Sara alikuwa huko nyuma mlangoni mwa hema, akisikiliza.

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:10 katika mazingira