Mwanzo 19:2 BHN

2 akasema, “Bwana zangu, karibuni nyumbani kwangu mimi mtumishi wenu. Mnaweza kunawa miguu na kulala kwangu usiku wa leo. Asubuhi na mapema mtaweza kuendelea na safari yenu.” Lakini, wao wakasema, “La! Sisi tutalala huku mtaani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 19

Mtazamo Mwanzo 19:2 katika mazingira