Mwanzo 19:3 BHN

3 Loti akawasihi sana, mwishowe wakakubali, wakageuka na kuingia nyumbani kwake. Loti akawaandalia karamu, akaoka mikate isiyotiwa chachu, wakala.

Kusoma sura kamili Mwanzo 19

Mtazamo Mwanzo 19:3 katika mazingira