Mwanzo 20:1 BHN

1 Toka Mamre, Abrahamu alisafiri kuelekea eneo la Negebu, akafanya makao yake kati ya Kadeshi na Shuri, kisha akaenda kukaa kwa muda huko Gerari.

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:1 katika mazingira