Mwanzo 20:2 BHN

2 Akiwa huko, Abrahamu alisema kuwa mkewe Sara ni dada yake. Kwa hiyo, mfalme Abimeleki wa Gerari akamchukua Sara.

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:2 katika mazingira