Mwanzo 20:3 BHN

3 Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto usiku, akamwambia, “Wewe utakufa kwa sababu ya mwanamke uliyemchukua, kwani ana mumewe.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:3 katika mazingira