Mwanzo 20:15 BHN

15 Tena Abimeleki akamwambia Abrahamu, “Tazama, nchi hii yote ni yangu! Basi, chagua popote upendapo, ukae.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:15 katika mazingira