Mwanzo 20:16 BHN

16 Kisha, akamwambia Sara, “Tazama, mimi nimempa ndugu yako vipande 1,000 vya fedha ili kuwaonesha wote walio pamoja nawe kwamba huna hatia; umethibitishwa huna lawama.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:16 katika mazingira