Mwanzo 20:17 BHN

17 Kisha Abrahamu akamwomba Mungu, naye akamponya Abimeleki, mkewe na mjakazi wake, hata wakaweza kupata tena watoto.

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:17 katika mazingira