Mwanzo 20:18 BHN

18 Hapo kwanza Mwenyezi-Mungu alikuwa amewazuia wanawake wote wa nyumba ya Abimeleki kupata watoto kwa sababu ya Sara, mke wa Abrahamu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:18 katika mazingira