Mwanzo 20:5 BHN

5 Abrahamu mwenyewe ndiye aliyesema kuwa huyu ni dada yake. Tena hata Sara mwenyewe alisema kuwa Abrahamu ni kaka yake! Mimi nimefanya nilivyofanya kwa moyo mnyofu na sina hatia.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:5 katika mazingira