Mwanzo 20:6 BHN

6 Basi, Mungu akamwambia katika hiyo ndoto, “Sawa. Najua kwamba umefanya hivyo kwa moyo mnyofu, na mimi ndiye niliyekuzuia kutenda dhambi dhidi yangu; ndiyo maana sikukuruhusu umguse huyo mwanamke.

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:6 katika mazingira