Mwanzo 20:8 BHN

8 Basi, Abimeleki akaamka asubuhi na mapema, akawaita watumishi wake wote na kuwaeleza mambo aliyoyaona katika ndoto; nao wakaogopa sana.

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:8 katika mazingira