Mwanzo 20:9 BHN

9 Ndipo Abimeleki akamwita Abrahamu, akamwuliza, “Umetutendea nini? Nimekukosea nini hata ukaniletea balaa hili mimi na ufalme wangu? Umenitendea mambo yasiyostahili kutendwa.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 20

Mtazamo Mwanzo 20:9 katika mazingira