Mwanzo 22:12 BHN

12 Malaika akamwambia, “Usimdhuru mtoto wala usimfanye lolote! Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwani hukuninyima hata mwanao wa pekee.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:12 katika mazingira