13 Ndipo Abrahamu akatazama, akaona kondoo dume amenaswa pembe zake kichakani. Basi, akaenda, akamchukua huyo kondoo, akamtoa sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanawe.
Kusoma sura kamili Mwanzo 22
Mtazamo Mwanzo 22:13 katika mazingira