Mwanzo 22:3 BHN

3 Basi, kesho yake, Abrahamu akaamka asubuhi na mapema, akatandika punda wake, akawachukua watumishi wake wawili pamoja na Isaka mwanawe. Akatayarisha kuni kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, kisha akaanza safari kuelekea mahali alipoambiwa na Mungu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:3 katika mazingira