Mwanzo 22:2 BHN

2 Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:2 katika mazingira