Mwanzo 22:5 BHN

5 Akawaambia wale watumishi wake, “Ngojeni hapa na huyu punda. Mimi na mwanangu tutakwenda mpaka kule, tukamwabudu Mungu, kisha tutawarudiani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:5 katika mazingira