Mwanzo 22:6 BHN

6 Basi, Abrahamu akazitwaa zile kuni, akamtwika Isaka mwanawe; yeye mwenyewe akachukua moto na kisu mkononi; wakaondoka pamoja.

Kusoma sura kamili Mwanzo 22

Mtazamo Mwanzo 22:6 katika mazingira