10 Efroni mwenyewe alikuwa miongoni mwa Wahiti hao waliokuwa wamekutanika penye lango la mji. Basi, Efroni Mhiti, akamjibu Abrahamu, mbele ya Wahiti wote hapo langoni,
Kusoma sura kamili Mwanzo 23
Mtazamo Mwanzo 23:10 katika mazingira