Mwanzo 23:11 BHN

11 “La, bwana; tafadhali unisikilize. Ninakupa shamba lote na pango lililomo humo; tena ninakupa mbele ya wananchi wenzangu. Mzike humo marehemu mkeo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 23

Mtazamo Mwanzo 23:11 katika mazingira