Mwanzo 24:10 BHN

10 Kisha, huyo mtumishi akachukua ngamia kumi wa bwana wake akaondoka akiwa na zawadi nzuri za kila aina. Akasafiri kwenda katika mji alimokaa Nahori, nchini Mesopotamia.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:10 katika mazingira