Mwanzo 24:31 BHN

31 Labani akamwambia, “Karibu kwetu wewe uliyebarikiwa na Mwenyezi-Mungu. Mbona unasimama nje? Mimi mwenyewe nimekwisha tayarisha nyumba na mahali kwa ajili ya hawa ngamia wako!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:31 katika mazingira