Mwanzo 24:32 BHN

32 Basi, mtumishi huyo wa Abrahamu akaingia nyumbani. Labani akawafungua ngamia na kuwapatia majani ngamia wake, akampa yeye na watu wake maji ya kunawa miguu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:32 katika mazingira