Mwanzo 24:33 BHN

33 Basi, wakamwandalia chakula, lakini yeye akasema, “Sitakula mpaka nimesema ninachotaka kusema.” Labani akamwambia, “Haya, tuambie.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:33 katika mazingira