Mwanzo 24:46 BHN

46 Naye akautua mtungi wake haraka kutoka begani mwake, akasema, ‘Haya, kunywa bwana wangu. Nitawatekea maji ngamia wako pia.’ Basi mimi nikanywa na ngamia wangu pia akawapa maji.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:46 katika mazingira