Mwanzo 24:47 BHN

47 Ndipo nilipomwuliza, ‘Je, wewe ni binti wa nani?’ Akaniambia, ‘Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori.’ Ndipo nilipompa pete na kumvisha bangili mikononi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:47 katika mazingira