Mwanzo 24:53 BHN

53 Kisha akatoa vito vya fedha na dhahabu na nguo, akampa Rebeka. Pia aliwapa ndugu na mama yake Rebeka mapambo ya thamani kubwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:53 katika mazingira