Mwanzo 24:55 BHN

55 Lakini ndugu na mama yake Rebeka wakasema, “Mwache msichana akae nasi muda mfupi, kama siku kumi hivi; kisha anaweza kwenda.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 24

Mtazamo Mwanzo 24:55 katika mazingira