Mwanzo 25:11 BHN

11 Baada ya kifo cha Abrahamu, Mungu alimbariki Isaka mwanawe. Naye Isaka akawa anaishi karibu na kisima cha Beer-lahai-roi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:11 katika mazingira