Mwanzo 25:12 BHN

12 Hawa ndio wazawa wa Ishmaeli mwanawe Abrahamu ambaye Hagari Mmisri, aliyekuwa mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:12 katika mazingira