Mwanzo 25:23 BHN

23 Mwenyezi-Mungu akamwambia,“Mataifa mawili yamo tumboni mwako;makabila mawili yatakayozaliwa nawe, yatafarakana.Moja litakuwa lenye nguvu kuliko lingine;mkubwa atamtumikia mdogo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:23 katika mazingira