Mwanzo 26:10 BHN

10 Abimeleki akamwuliza, “Ni jambo gani hili ulilotutendea? Mmoja wa watu wangu angaliweza kulala na mkeo bila wasiwasi, nawe ungekuwa umetutia hatiani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:10 katika mazingira