Mwanzo 26:9 BHN

9 Abimeleki akamwita Isaka na kumwambia, “Kumbe huyo ni mke wako! Mbona ulisema ni dada yako?” Isaka akajibu, “Kwa kuwa niliogopa kwamba ningeuawa kwa sababu yake.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:9 katika mazingira