Mwanzo 26:25 BHN

25 Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima.

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:25 katika mazingira