Mwanzo 26:31 BHN

31 Kesho yake wakaamka asubuhi na mapema na kula kiapo. Kisha Isaka akawasindikiza na kuagana nao kwa amani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:31 katika mazingira