Mwanzo 26:32 BHN

32 Siku ileile watumishi wa Isaka walimjia na kumpasha habari za kile kisima walichokuwa wamechimba, wakasema, “Tumepata maji!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:32 katika mazingira