Mwanzo 26:4 BHN

4 Nitawazidisha wazawa wako wawe kama nyota za mbinguni na kuwapa nchi hizi zote. Kutokana na wazawa wako, mataifa yote duniani yatabarikiwa,

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:4 katika mazingira