Mwanzo 26:3 BHN

3 Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa nawe na kukubariki. Nitatimiza ahadi niliyompa baba yako Abrahamu, kwani nitakupa wewe na wazawa wako nchi hizi zote.

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:3 katika mazingira