Mwanzo 26:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu akamtokea Isaka na kumwambia, “Usiende Misri, bali kaa katika nchi nitakayokuambia.

Kusoma sura kamili Mwanzo 26

Mtazamo Mwanzo 26:2 katika mazingira