Mwanzo 27:18 BHN

18 Basi, Yakobo akaingia ndani kwa baba yake, akamwita, “Baba!” Naye akaitika, “Naam! Ni nani wewe mwanangu?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:18 katika mazingira