Mwanzo 27:19 BHN

19 Yakobo akamjibu baba yake, “Ni mimi Esau, mzaliwa wako wa kwanza. Nimefanya kama ulivyoniagiza. Tafadhali baba, kaa kitako ule mawindo yangu ili upate kunibariki.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:19 katika mazingira