20 Lakini Isaka akamwuliza, “Imekuwaje umepata mawindo upesi hivyo, mwanangu?” Yakobo akamjibu, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.”
Kusoma sura kamili Mwanzo 27
Mtazamo Mwanzo 27:20 katika mazingira