Mwanzo 27:30 BHN

30 Isaka alipokwisha kumbariki Yakobo, naye Yakobo alipokuwa ndio tu ametoka mbele ya baba yake Isaka, Esau kaka yake Yakobo, akarudi kutoka mawindoni.

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:30 katika mazingira