Mwanzo 27:31 BHN

31 Esau pia akatengeneza chakula kitamu, akampelekea baba yake, akamwambia, “Haya baba, inuka ule mawindo yangu mimi mwanao, ili upate kunibariki!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:31 katika mazingira