Mwanzo 27:32 BHN

32 Isaka akauliza, “Wewe ni nani?” Naye akamjibu, “Ni mimi mwanao Esau, mzaliwa wako wa kwanza.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:32 katika mazingira