Mwanzo 27:33 BHN

33 Hapo Isaka akatetemeka mno, akasema, “Ni nani basi yule aliyewinda na kuniletea mawindo, nami nimekwisha kula kabla hujaja? Tena nimekwisha mbariki; naam, amekwisha barikiwa!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:33 katika mazingira