Mwanzo 27:34 BHN

34 Esau alipoyasikia maneno ya baba yake, akaangua kilio cha uchungu. Kisha akamwambia baba yake, “Ee baba yangu, nibariki na mimi, tafadhali!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:34 katika mazingira